TUMSIFU YESU KRISTU……. Leo tarehe 10/05/2018 tutakuwa na MAFUNDISHO KUHUSU ROHO MTAKATIFU, kwa maandalizi ya novena ya ROHO MTAKATIFU. Nawaombeni sana  wanachama wote tuhudhurie C1 kwa wingi. Humphrey Mwinuka (Kamati ya Litrujia).

KUTAKUA NA MISA TAKATIFU SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU HAPA C1

MAPENDOOO…….! Amani kwenu…, Poleni kwa utume….! Poleni na Mitihani…! Kutokana na ratiba mbalimbali za mitihani hapa CHUONI DIT,tunatangaziwa kuwa kutakuwa na Azimisho la MISA TAKATIFU ya Jumatano ya majivu tareha 14/02/2018 MUDA 1:30 JIONI hapa C1. Misa itaongozwa na PANDRE NYANDWI Nyote mnakaribishwa Nyote kwa pamoja Njooni tuianze KWARESMA Kwa majivu.

Tumsifu Yesu Kristu…… Tutakuwa na MISA ya kuombea Mitihani siku ya JUMAPILI tarehe 11 Februari, 2018. Katika Misa hii tutajumuika na Ndugu zetu Kutoka IFM na MUHAS, hivyo wanachama wote mnaombwa kuhudhuria kwa wingi. Mapendo……

Tumsifu yesu Kristu….. Ndugu wanachama  tunaombwa kuchangia kwa kadiri ya uwezo wetu kiasi chochote kwa huu muda mfupi uliobaki kwa ajili ya kuwafariji ndugu zetu. KUTOKA: Uongozi TMCS DIT

Tumsifu Yesu Kristo Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu,tunatangaza kutokea kwa mabadiliko ya venue ya kufanyia JOINT MASS badala ya kufanyia chuo cha Mwl Nyerere,Misa hii ya pamoja itafanyika katika chuo cha TIA tarehe 03/02/2018 siku ya Jumamosi kuanzia saa 08:00 asubuhi Hivyo ndugu viongozi tunaombwa tuzidi kuhamasisha juu ya *Joint mass*hii ili tuweze kushiriki wote katika matawi yetu. Samahani kwa usumbufu uliojitokeza katika hili Katibu TMCS Jimbo. Mapendo…….