TMCS-DIT MAHAFALI 2018

TMCS-DIT MAHAFALI 2018

TMCS-DIT tunamshukuru Mungu kwa siku hii ya pekee tunapowapongeza wanafunzi wenzetu wanaohitimu katika ngazi za shahada na stashahada.Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya hawa wenzetu ambao tumekuwa nao pamoja katika kumsifu na kumtukuza Mungu kwa kipindi chote walichokuwa nasi.

Siku hii inapambwa kwa matukio mbalimbali ikiwemo Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Bethania House Upanga na baadae tafrija fupi inayoendelea katika Hoteli ya Valentino Kariakoo.

Wahitimu TMCS-DIT 2017/2018 wakiwa katika picha ya pamoja na Padre Mlezi Baba Luxford Lugongo baada ya Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Bethania House Upanga. Picha na TEHAMA TMCS-DIT.

Mc .Fat Ros kutoka Chuo cha Uhasibu TIA akifanya kazi yake kwa ufaninisi mkubwa kuhakikisha kila mmoja anapata burudani.Baadhi ya Wanakamati Kamati ya Mahafali  TMCS-DIT 2018  wakiwa katika picha ya pamoja katika Hoteli ya Valentino Kariakoo muda mfupi kabla ya tafrija kuanza. Picha na TEHAMA  TMCS-DIT.
Dada GLORIA OSCAR Mhazini Kamati ya mahafaliFundi mitambo Kaka Albert  akifanya kazi kwa ufanisi mkubwa. MGENI RASMI wa Mahafali TMCS-DIT 2018 Mrs. Margareth Ikongo. Picha na TEHAMA TMCS-DIT.


Dada Happyness James na Kaka Kelvin Ojango wakisoma Risala kwa niaba ya Wahitimu TMCS-DIT 2018 mbele ya Mgeni Rasmi Mrs. Margareth Ikongo.